Daylio Shajara: Diary ya Hisia

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
Maoni elfu 464
Daraja la maudhui
PEGI 3
10M+
Vipakuliwa
Furahia programu hii na nyingine nyingi bila matangazo wala ununuzi wa ndani ya programu, ukitumia usajili wa Google Play Pass. Sheria na masharti yatatumika. Pata maelezo zaidi
Daraja la maudhui
PEGI 3
Ununuzi wa ndani ya Programu
Pata maelezo zaidi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Daylio ni shajara na mood tracker inayokuwezesha kuweka diary yako ya siri bila kulazimika kuandika hata mstari mmoja.

Jaribu BILA MALIPO programu hii ya shajara na mood tracker, iliyoundwa kwa ustadi na rahisi kutumia!

😁 DAYLIO NI NINI

Daylio ni shajara na kifuatiliaji cha hisia (mood tracker) katika programu moja, inayokusaidia kujielewa vizuri zaidi. Itumie kama diary ya kibinafsi, shajara ya shukrani au chombo cha afya ya akili kinachosaidia ustawi wako wa kihisia. Iwe unafuatilia mabadiliko ya hisia, unajenga tabia mpya, unaweka malengo au unakabiliana na wasiwasi, Daylio inaendana na mahitaji yako.

Inafaa kwa:

- Kusaidia afya ya akili
- Kufuatilia sonona (depression), wasiwasi au ugonjwa wa bipolar
- Kujitunza (self-care) na kutambua hisia zako
- Kusaidia tiba au CBT (Cognitive Behavioral Therapy)
- Kupanga malengo na ratiba zako
- Kujenga tabia nzuri na kuboresha ustawi wako

Fanya mazoezi, tafakari, andika shajara na utunze afya yako ya akili na hisia. Kwa miguso michache tu, utaunda kumbukumbu yenye maana ya siku yako na kupata uwazi, motisha na faraja ya moyo.

Tulijenga Daylio juu ya kanuni tatu kuu:
✅ Boresha afya yako ya akili kwa kutafakari hisia na shughuli zako
✅ Elewa mifumo ya hisia, tabia na vitu vinavyozichochea
✅ Jenga tabia mpya kwa urahisi, bila usumbufu

🤔 JINSI INAVYOFANYA KAZI

Chagua hisia yako na shughuli zako. Ongeza madokezo, picha au hata rekodi za sauti ili kuunda shajara yako binafsi yenye kumbukumbu tele. Kisha Daylio huonyesha mifumo ya hisia zako kwenye chati na takwimu, ili ujue kinachoathiri hisia zako na kinachokufanya ujisikie vizuri zaidi.

Fuatilia afya ya akili, hisia, tabia na malengo yako — vyote katika programu moja.

🌟 VIPENGELE UTAKAVYOVIPENDA

⭐ Fuatilia hisia zako kwa mguso mmoja
⭐ Maingizo ya kila siku yenye maandishi, picha na sauti
⭐ Aikoni nzuri za kubinafsisha shughuli zako
⭐ Chati za kina za hisia, tabia, malengo na ratiba
⭐ Takwimu za hisia za kila wiki, kila mwezi na kila mwaka
⭐ Ramani ya hisia ya "Mwaka katika pikseli"
⭐ Vikumbusho vya kila siku ili uendelee kuandika shajara
⭐ Diary yenye kufuli: ilinde kwa PIN au alama ya kidole
⭐ Badilisha mandhari na hisia kwa emoji za kufurahisha
⭐ Unda, fuatilia na ufikie malengo yako binafsi
⭐ Jenga na udumishe tabia nzuri
⭐ Hifadhi nakala rudufu ya diary yako ya siri kwenye Google Drive
⭐ Hamisha maingizo yako kama PDF au CSV
⭐ Gundua mifumo ya hisia zako na uongeze tija
⭐ Inafaa kama msaada kwa ADHD, wasiwasi au sonona
⭐ Imeundwa kuendana na tiba, umakinifu (mindfulness) au CBT

Daylio ni mahali salama kwa hisia, mawazo na ukuaji wako. Ni mwenzi wako binafsi wa kujitunza vizuri, afya bora ya akili na ustawi zaidi.

🔒 FARAGHA NA USALAMA

Daylio ni programu ya shajara ya faragha kwa 100%. Data yako huhifadhiwa kwenye kifaa chako — hatukusanyi wala hatuhifadhi maingizo yako. Nakala rudufu ni za hiari na husimbwa kwa njia fiche kupitia Google Drive yako binafsi.

- Hakuna data inayotumwa kwenye seva zetu
- Hakuna anayeweza kufikia diary yako ya siri, hata sisi
- Hakuna matangazo, ufuatiliaji wala kuingiliwa na wahusika wengine
Daylio inakupa udhibiti kamili wa maingizo yako na data ya afya yako ya akili, na kukupa amani ya moyo pamoja na kujielewa kihisia.

📝 ANZA SAFARI YAKO YA KUANDIKA SHAJARA

Anza kufuatilia hisia zako na kujenga tabia nzuri leo ukitumia Daylio — mood tracker na shajara isiyo na malipo, inayokusaidia kuishi kwa makusudi, ufahamu na uwazi zaidi.

Pakua sasa na upige hatua ya kwanza kuelekea afya bora ya akili na furaha zaidi!
Shajara ya siri yenye kufuli, mood tracker, tabia, malengo na afya ya akili
Ilisasishwa tarehe
28 Okt 2026

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
  • Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
    Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
  • Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
    Shughuli za programu, Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
  • Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
  • Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

Maoni elfu 444

Vipengele vipya

Minor fixes and improvements